Baadhi
ya wakazi wa mjini Singida, wakiwa wamekusanyika katika duka la wakala wa
M-pesa lililopo kwenye taasisi ya elimu ya watu wazima, muda mfupi baada ya
mmiliki wa duka hilo Mashaka Omari Makiya,kujipiga risasi kwa kutumia Bastola
yake na kusababisha kifo chake.
Tuesday, December 31, 2013
RASIMU YA KATIBA MPYA HII HAPA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea Rasimu ya pili ya Katiba Mpya kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya
Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa hafla ya kukabidhiwa rasimu hiyo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Rais Kikwete
aliitaka Tume hiyo ya Katiba kuhakikisha kuwa Rasimu hiyo inawekwa kwenye
mitandao yote ya kijamii ili wananchi waweze kuisoma na kuielewa na kuweza
kutoa maoni yao kwa urahisi kupitia mitandaoni.
Monday, December 30, 2013
JM ATAKA MAWAZIRI WAPEWE MENO
MBUNGE WA LUDEWA AKIBEBWA JUU KWA JUU BAADA YA KUONGEA NA WAPIGA KURA WAKE LIVE!!
8 PEOPLE KILLED IN VIOLENCE IN CHINA'S XINJIANG REGION
Police
shot and killed eight people who attacked a police station in Xinjiang, a
restive region in northwestern China, authorities said Monday.
Nine
people armed with knives threw explosives at the building and set fire to
police vehicles, the Xinjiang government said on its website. One of the people
was taken into custody, it said.
The
violence took place in Yarkant County in Xinjiang and is under investigation,
authorities said.
BIRTHDAY YA MWANAMITINDO ASIA KHAMSIN IDAROUS YAFANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE
MAKAMBA AKUTANA NA MAASKOFU NA WACHUNGAJI MWANZA:AZITAJA SIFA ZA KIONGOZI WA TAIFA.
MAKAMBA AWASIHI BODABODA WA MWANZA: URAHISI NA UHARAKA WA UPATIKANAJI LESENI USIWE TIKETI YA VIFO VYA WANANCHI.
NAIBU wa Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia January Makamba ametaka ujio wake Jiji la Mwanza usihusishwe na Kampeni za chini kwa chini za Urais bali ni kutekeleza ombi la Umoja wa waendesha pikipiki Mkoa wa Mwanza kuwasaidia kupata Bima ya Afya baada ya kuwawezesha kupata pikipiki 1745 za FEKON na si vinginevyo.
Friday, December 27, 2013
MWANAMKE WA KITANZANIA AKAMATWA HUKO MACAO,CHINA KWA DAWA ZA KULEVYA
Mwanamke huyo wa kitanzania ana umri wa
miaka 28- kutoka hapa Tanzania amekamatwa
kwa kujihusisha na biashara ya mihadarati maeneo ya mji wa Macao, mnamo Dec 19, 2013. Ambapo alificha kilo 1.1
za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya $137,720 akiwa amezimeza na kasha akachukua ndege
kutoka Thailand hadi Macao siku ya
jumanne. Na alikua akielekea Guangzhou, mji ulioko katika jimbo la Guangdong .
WATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA "MO KIDS GOT TALENT 2013"
Wednesday, December 25, 2013
MR BLUE AONGELEA MAJUKUMU YAKE KAMA BABA, AUMALIZIA MJENGO WAKE, KUHAMIA JAN 1....CHEKI HAPA
TRANSEVENTS LTD KUZINDUA MABASI YENYE UWEZO WA KUTEMBEA NCHI KAVU NA MAJINI TANZANIA.
Kampuni ya Transevents Marketing Ltd kutoka Nchini Tanzania kwa kushirikiana na kampuni la Dutch Amfibious Transport(DAT) linalotengeneza mabasi ambayo kutoka Uholanzi yanauwezo wa kutembea nchi kavu na majini na ambayo itakuwa ni Teknolojia ya kwanza kwa Afrika itakayo anzia Tanzania kuwa na aina hiyo ya mabasi.
Tuesday, December 24, 2013
USALAMA BARABARANI
Subscribe to:
Posts (Atom)