Mtoto Zili ameonekana
mara kadhaa akiwa na babake alomtia mnyororoni huko katika jimbo la Mashariki mwa mji wa Zhejiang.
Friday, November 29, 2013
Tanzania, Burundi and DR Congo agree on joint infrastructure
Waziri wa jumuiya ya Africa Mashariki,Samuel Sitta,ambaye
pia ni mbunge wa Urambo mashariki kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM)
ambaye pia aliwahi kua spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
kipindi cha mwaka (2005-2010) mwenye miwani katikati akiwa na wakuu wengine
kutoka Tanzania, Burundi na Democratic
Republic of Congo (DRC).
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA), DAR ES SALAAM.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisoma hituba yake ya uzinduzi rasmi wa sherehe za
maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Miaka 10 ya
Mapinduzi katika Sekta ya Mawasiliano Tanzania, yaliyozinduliwa rasmi katika Ukumbi wa Mliman City,jijini Dar es
Salaam.
MICHUANO YA CECAFA: TANZANIA BARA YATOKA SARE YA 1-1 NA ZAMBIA
Bwana shiyo Pamoja na Gavana wa Machakos wakiwasalimia
wachezaji.
TIMU ya Taifa ya
Tanzania Bara,Kilimanjaro Stars imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 katika
mashindno ya Cecafa Challenge yanayoendelea jijini Nairobi nchini Kenya, bao la
Said Morad aliyofuga kwa kichwa,kufuatia mpira wa kona uliopigwa na mchezaji
bora wa mechi hiyo Salum Abbakar Sure Boy, ndiyo iliyobadili ubao wa matangazo
baada ya Zambia (Chipolopolo) kuwa ya kwanza kupata bao la kuongoza kupitia kwa
Roladi Katanga.
Thursday, November 28, 2013
TAKUKURU KWA KUSHIRIKIANA WADAU WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA WAANDAA TAMASHA JIJINI ARUSHA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Megamark Ltd. Chedi Ngulu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya ushauri wa Umoja wa Afrika ya kupambana na Rushwa yaani African Union Advisory Board on Corruption (AUABC) na Tamasha la wasanii lenye lengo la kufikisha ujumbe juu ya Madhara ya Rushwa kwenye Jamii, Kati kati ni Emmanuel Atenga toka (AUABC) na Stephane Ndilimbaye toka AUABC.
Tuesday, November 26, 2013
HYATT REGENCY KILIMANJARO HOTEL SET ASIDE USD 50,000 FOR CSR
Monday, November 25, 2013
MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL HANDS OVER 132 STORY BOOKS WORTH 200,000 TO UKONGA PRIMARY SCHOOL
MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO KWA WATANZANIA WALIO MSTARI WA MBELE KATIKA KUBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO, JIJINI DAR
Friday, November 22, 2013
ALIYEKUWA RAIS WA BOTSWANA MH. FESTUS GONTEBANYE MOGAE AMTEMBELEA RAFIKI YAKE MH. MOHAMMED DEWJI
Mwenyekiti wa MeTL Group Bw. Gulam Dewji akibadilishana mawazo na aliyekuwa Rais wa Botswana Mh. Festus Gontebanye Mogae alipomtembelea rafiki yake Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji (katikati) ofisini kwake.
P-SQUARE WATUA BONGO TAYARI KWA ONESHO LEADERS CLUB KESHO
Mwanamuziki wa kundi la P - Square, Paul
Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarake
Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa Watanzania, Msanii huyo
aliambatana na Pacha wake Peter Okoye ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P-
Square. Wasanii hao wameambatana na wenzao 13 ambao watatoa burudani jumamosi
ya tarehe 23 Novemba. Tamasha hilo limeandaliwa na East African Radio na EATV
na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
FURSA BLUEPEAL JANA
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI DK. CHARLES TIZEBA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI DODOMA KATIKA DARAJA LA RELI LA BAHI-KINTINKU
Naibu
Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (wa tatu kutoka kulia), akiongea
na fundi ambaye anafanya shughuli za ujenzi katika Daraja la Reli la
Bahi-Kintinku. Dk. Charles Tizeba amefanya ziara kwenye daraja hilo na kupata taaarifa kuwa limekamilika kwa
asilimia 98. Aidha daraja hilo limegharimu
kiasi cha Shilingi Bilioni 3.5.
Thursday, November 21, 2013
UWEPO WA WADHIBITI WENGI (REGULATORS) NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA SEKTA YA VIWANDA NCHINI - CTI
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Nchini (CTI) Bi Christine Kilindu (Mwisho Kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya viwanda nchini na mchango wa sekta hiyo katika kupambana na tatizo la ajira katika kilele cha Siku ya Viwanda Afrika, (Kati Kati) ni Kaimu Katibu Mkuu Odilo Otieno (Kushoto) Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Emmanuel Kalenzi .
.Kesho ni kilele cha Siku ya Viwanda Afrika wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
.Tanzania yapiga hatua viwanda 700 vyaanzishwa ndani ya miaka mitano
.UNIDO yaifagilia serikali ya JK kwenye kuhamasisha uwekezaji kwenye sekta ya viwanda
.Ujasiriamali kufundishwa kuanzia mashuleni
NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA UCHUKUZI Dk. CHARLES TIZEBA ATEMBELEA KARAKANA YA RELI MJINI MOROGORO KUANGALIA MAENDELEO YA UUNDWAJI UPYA WA VICHWA VYA TRENI KWA AJILI YA KUIMARISHA USAFIRI WA RELI NCHINI
Muoneano wa kichwa cha treni ambacho kinaundwa Upya na Kampuni ya SMH/Rail kutoka nchini Malaysia kikiendelea kufanyiwa kazi katika karakana ya Reli mkoani Morogoro. Kichwa hicho ni moja ya vichwa ambavyo vinajengwa upya kwa ajili ya kuimarisha usafiri wa Reli Nchini. Aidha, Kichwa cha kwanza kitakabidhiwa kwa Serikali Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2013.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA MSAFARA NA MWAKILISHI WA SULTAN WA OMAN, SAID ASAAD BIN TARIQ AL SAID, NCHINI KUWAIT
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia
ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said, wakati walipokutana faragha Nov 19,
2013, nchini Kuwait katika mkutano wa
tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait.
UNESCO YAITAKA SERIKALI KUZITAMBUA REDIO ZA JAMII NCHINI
Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kushoto) akiwasili katika Hoteli ya New Palm Tree iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani kufungua mkutano wa nne wa Mtandao wa vyombo vya habari vya Kijamii nchini (COMNETA) akiwa ameongozana na wenyeji wake Afisa Mipango Taifa wa Kitengo cha Mawasiliano na Habari na mratibu wa miradi ya UNESCO , Yusuph Al-Amin (wa pili kulia), Mwenyekiti wa COMNETA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Wilayani Karagwe ya FADECO Bw.Joseph Sekiku (wa pili kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa COMNETA ambaye pia ni Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Telecentre Sengerema FM mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye.
Wednesday, November 20, 2013
VISHALE HIYOOO YAJA
Tuesday, November 19, 2013
Monday, November 18, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)